SOCCER KONA
Pages
(Move to ...)
HOME
CONTACTS
RATIBA ZA MICHEZO
▼
Guyz naombeni mnisaidie eti HASHIM THABIT anacheza timu gani
Andy Mapunda Chelsea
Guyz naombeni mnisaidie eti HASHIM THABIT anacheza timu gani?
Ingram John
and
Andy Mapunda Chelsea
like this.
Mark as Spam
Amosy Morchy Kibangali
Memphis grillerz
8 hours ago
via
mobile
·
Like
·
1
Andy Mapunda Chelsea
Asante amos.dah huyu jamaa bora arudi2 nyumbani maana huko achez.
8 hours ago
via
mobile
·
Like
Kijo Madeleka
Hasheem Thabit alichukuliwa na Memphis Grizzlies kutoka College. Hawakuridhika na mwenendo wa kiwango chake wakampeleka timu ya Dakota Wizard katika D-League (Development League) ili akapate uzonefu na aweze kucheza vizuri NBA. Huko alifanya vizuri wakamrudisha kucheza NBA lakini bado akashindwa kuwaridhisha Memphis wakaamua kumuuza Houston Rockets huko napo hakuweza kuonyesha kiwango na wamempeleka tena D-League ili apate uzoefu na kuongeza kiwango. Kwa hiyo hadi sasa Hasheem ni mchezaji wa Houston Rockets lakini kwa sasa anachezea Rio Grande Valley Vipers ktk D-league.
Hayo ndo maelezo machache kuhusu ndugu yetu Hasheem Thabit naamini utakuwa umenipata fresh mdau
Andy Mapunda Chelsea
7 hours ago
·
Like
·
2
Andy Mapunda Chelsea
Nimekupata kijo thax.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment