SOCCER KONA
Pages
(Move to ...)
HOME
CONTACTS
RATIBA ZA MICHEZO
▼
Showing posts with label
MICHEZO TANZANIA
.
Show all posts
Showing posts with label
MICHEZO TANZANIA
.
Show all posts
Hivi ndo tunataka soka letu likuwe kwa mwendo huu tutafika, kwa kitendo cha jana wachezaji wa YANGA kumpiga mwamuzi sio cha uzalendo kabisa, iliniuma sana sio siri!! Je wewe binafsi unasemaje? Comment!!!
›
Polisi akiwazuia wachezaji wa yanga waliokua na hasira na refa. Refa akikimbia kichapo baada ya kutoa kadi nyekundu nyingine kwa wac...
SIMBA NAO WATOKA SARE NA KIYOVU KIGALI RWANDA
›
Wawakilishi wa Tanzania Bara katika kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) Simba SC imetoa sare ya goli 1-1 na Kiyovu ya Rwanda m...
YANGA YATOKA SARE NA ZAMALEK TAIFA - AMRI ZAKI AINYIMA USHINDI
›
Klabu ya Dar Young African leo imeshindwa kuifunga Zamalek ya Misri kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa wa Afrika baada ya kutoka sare ya ba...
CAF AFRIKA: Yanga v Zamalek; Kiyovu v Simba
›
Klabu kongwe Nchini, Yanga na Simba, Leohii zinajimwaga dimbani kwenye Mashindano makubwa Barani Afrika huku Yanga wakiikaribisha Zam...
KIPUTE CHA KESHO ZAMALEKI NA YANGA
›
ZAMALEKI YANGA
Facebook status: "Leo nakunywa mayai sauti iwe nyororo tayari kwa kuishangilia ZAMALEK...uzalendo my foot" says Soggy Dog
›
Anselm Soggy The-Entertainer Leo nakunywa mayai sauti iwe nyororo tayari kwa kuishangilia ZAMALEK...uzalendo my foot ...
1 comment:
POULSEN ATAJA STARS WATAKAO IVAA MSUMBIJI
›
KOCHA MKUU WA TAIFA STARS Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Jan Poulsen, ametangaza majina ya Wachezaji 23 watakaoingia kambini...
›
Home
View web version