Nini hasa tatizo kubwa kwa TIGER HOOD kuporomoka kwa kiwango chake cha GOLF?
JE NI baada ya kuachana na wife wake kwa SKENDO za mapenzi au kachoka kabisa?
Nini hasa tatizo kubwa kwa TIGER HOOD kuporomoka kwa kiwango chake cha GOLF?
JE NI baada ya kuachana na wife wake kwa SKENDO za mapenzi au kachoka kabisa?
Faraji Makay :gemu inakupanda na kushuka...vile m2 awezi kuwa juu muda wote...!!!- Gulam Mhedu :Umaarufu mzigo wa miba, halafu kuwa number moja kwa muda inawezekana ila kukaa hapo milele haiwezekani!
Rajabu Abeid: Kila jambo lina msimu.
Linus Anthony: Me nadhan ni kuchoka coz ata masupa* wa soka wanaishaga mdogo mdogo
- Mkusa Mancho: Mbele siku zote wadhamini ndo kla kitu achana na mshahara unaopata so wanaamini kuwa maarufu ni mfano ktk jamii ukifanya ktu ambacho kitaharibu heshima yako kma alivyofanya Tiger Woods wadhamini wanavunja mikataba yao unaporomoka kiuchumi matumizi yako yanashuka na mbele kuna haki nyingi zinawabeba wanawake so asilimia kubwa ya utajiri wako unakwenda kwa mkeo unachanganyikiwa kiwango kinashuka vilevile kwa mawazo. So unatakiwa uwe mwangarifu unapokuwa superstar especially ukiwa umeoa kuna haki nyingi za wanawake mbele usipoangalia dunia utaiona chungu@Ingram
No comments:
Post a Comment