skip to main |
skip to sidebar
Antonio Valencia atakuwa nje ya uwanja kwa takriban wiki nne
Kwa mujibu wa www.qurasa.com Antonio Valencia atakuwa nje ya uwanja kwa takriban wiki nne baada ya kuumia nyma ya paja katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ajax Amsterdam jana usiku
No comments:
Post a Comment