Huku akiwa kwenye kiti cha moto,kocha wa Chelsea Andre Villas-Boas amesema wala hana shida ya kuungwa mkono na wachezaji wake wote,yeye anachohitaji ni sapoti ya bosi wake Abramovic tu, www.superspot.com/football inaripoti
Kuna taarifa kutoka kwa vyombo mbalimbali vya habari kuwa kulikuwa na hali ya kutoelewana kati ya wachezaji na makocha wa Chelsea walipokutana kwenye uwanja wa mazoezi jumapili iliyopita,siku moja baada ya kuwa wamedhalilishwa na Everton kwa bao 2-0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment