Nahodha wa Aston Villa, Stiliyan Petrov, amegunduliwa kuwa na ugonjwa hatari wa Leukemia.Balaa hilo limegunduliwa baada ya kufanyiwa vipimo alipomaliza kucheza mechi na Arsenal jumamosi ya wiki iliyopita, kwa kuwa alikuwa anajisikia homa.
Kwa mujibu wa Skysports News, klabu yake ndio iiyotoa taarifa hizi mbaya, na kwamba klabu yake ambayo leo jioni itacheza na Chelsea, imeahidi kuwa karibu nae zaidi, yeye pamoja na familia yake.
LEUKEMIA ni namna ya kansa ambayo inashambulia urojo wa ndani ya mifupa (bone marrow) na chembe chembe nyeupe za damu(white blood cells) Namtakia ugua pole Stiliyan Petrov
No comments:
Post a Comment