Featured Posts
-
MICHEZO TANZANIA
MICHEZO TANZANIA
-
Duis non justo nec auge
LIGI KUU ENGLAND
-
Vicaris Vacanti Vestibulum
LA LIGA
Di Matteo: Romeu going nowhere
The defensive midfielder has made just four appearances for the Stamford Bridge club this season, with two of those outings coming in the Capital One Cup.
Romeu's limited opportunities have led to speculation he could be loaned or sold in the winter transfer window amid reports of the summer 2011 signing from Barcelona returning to Spain.
Di Matteo has confirmed there is interest in the 21-year-old but, with John Obi Mikel and Victor Moses set for African Cup of Nations duty in early 2013, Chelsea need a large squad.
"Romeu is a very young talent with good prospects for the future," said Di Matteo. "He has offers from other clubs and especially from Spain but I have had calls from Italy as well.
"But he has been playing a bit more lately and he will be playing more in the future. There is absolutely no chance of him leaving in January."
Liverpool receive Lucas boost
Liverpool have been given a major boost with the news that midfielder Lucas Leiva is back in training following a lengthy injury lay-off.
The Brazilian has been out since the end of August, when he picked up a thigh injury in the 2-2 draw with Manchester City.
Lucas is not fit enough to make the squad for Saturday's Premier League visit of Wigan but could figure in the Europe League clash with Young Boys next Thursday.
The 25-year-old said on Twitter: "Happy to be back and feeling good", before adding: "I hope I will be available soon."
Lucas has had a bad run with injuries, missing the majority of last season after damaging his anterior cruciate ligament.
During his latest spell on the sidelines, Liverpool have slumped to 13th in the Premier League.
LULU AELEZA ULIMWENGU KILICHOTOKEA
Kwa siku nzima ya jana mtuhumiwa wa mauaji ya muigizaji maarufu nchini Steven Kanumba,Elizabeth `Lulu`Michael alikuwa amegoma kuongea chochote juu ya siri anayoijua ya kifo cha msanii huyo.
Hatimaye Lulu ameamua kuuvunja ukimya na kuwaeleza polisi nini kilikuwa kimetokea hadi kupelekea kifo cha Kanumba.Katika taarifa aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari,kamanda wa polisi wa mkoa wa kinondoni Afande Charles Kenyela amesema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa Kanumba alikunywa pombe aina ya whisky inayokwenda kwa jina la `Jack Daniels`lakini hakufafanua kwa kiwango kipi kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea na hiyo ni taarifa ya awali tu.
Kuhusu Lulu Afande Kenyela amesema wamefanikiwa kumuhoji binti huyo mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 18 na katikamaelezo yake binti huyo amesema yeye hakuwa amemsukuma marehemu.Vyombo vingi vya habari jana vilimnukuu ndugu wa marehemu Kanumba Seth akisema kuwa Lulu alimsukuma marehemu kabla ya kifo chake.
Kutokana na maelezo ya Lulu, Kamanda Kenyela alisema kwamba ugomvi wao ulitokana na Kanumba kutaka kumdhibiti Lulu wakati akizungumza na simu.
“Kanumba aliamua kumfuata Lulu nje huku akifoka kwa sauti, akitaka aelezwe kwa
nini alitoka nje kupokea simu, huku akimtuhumu kuwa huenda alikuwa
akizungumza na mwanaume mwingine.
Baada ya Lulu kuona Kanumba anamfuata,Lulu aliamua kukimbia kutoka nje ya geti,lakini kabla hajafanikiwa kufungua geti, Kanumba alimkamata na kumrudishwa ndani. Kanumba akiwa amemshikilia, waliingia wote chumbani na kufunga mlango. Sasa haijulikani nani aliyefunga mlango, ingawa maelezo ya Lulu, anadai kuwa aliyefunga mlango ni Kanumba,”alisema Kamanda huyo.
Akiendelea kumnukuu Lulu, Kamanda huyo anasema; “Baada ya Kanumba kufunga mlango,alimuona akilegea na kujigonga kisogo chake kwenye ukuta wa chumba hicho kabla ya kuanguka chini,”alisema.
Mwisho Kamanda Kenyela alisema uchunguzi wa tukio zima ukikamilika, hatua inayofuata ni kumpeleka Lulu mahakamani kama mtuhumiwa wa mauaji.

VYOMBO VYA HABARI VINATENGENEZA MAAFA-UBUNIFU WETU
NAFUNGUKA KAMA HIVI NATANGULIZA SAMAHANI KAMA NITAMKERA MTU KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE
Ni kuhusu hivi vyombo vya habari vya Tanzania na ujinga ujinga wao unaosababisha maafa bila wao kujua.Media za kibongo zinachangia kwa kiasi kikubwa maadili kuvunjwa na pia zimekaa kiugombanishi gombanishi tu!!!
Naanzia kwenye hii ishu iliyopo kuhusu Lulu kuwekwa hatiani akihusishwa na mauaji. Hivi unadhani Lulu angekuwa kama alivyo kama sio upumbavu wa waandishi uchwara wa habari ambao wanasahau kuwa udaku ni tofauti sana na umbea…..umbea unaweza kusababisha vita maana mnajikuta mnaandika andika tu ujinga na sisi watanzania tunashangilia….binafsi huwa siogopi kitu kama nina poiti ya kujitetea haya Magazei ya Global publishers, ondoa gazeti la Uwazi, kila gazeti lilikuwaga bize kweli kumsakama Lulu, mara Lulu kafikisha miaka 18 sasa, mara amevalishwa pete ya ndoa…magazeti haya yakamvimbisha kichwa Lulu akajiona yeye ndo kila kitu hapa Tanzania.
Ni haya haya magazeti yalisababisha huyu mtoto ashindwe kufanya mtihani wa kidato walau cha nne maana sina uhakika kama wa kidato cha pili alifaulu. Yeye mwenyewe hata kama hakusema alijua kuwa magazeti yataandika LULU NDANI YA CHUMBA CHA MTIHANI, kwani Lulu kufanya mtihani nayo ni habari ya kuandika ama, hao hao watamaliza wataandika LULU APATA ZERO…kama vile hakuna vitu vya kuandika katika kurasa za mbele bwana…magazeti yakamsifu Lulu amekuwa mtu mzima naye akaanza kufanya mambo ya kiutu uzima, hayohayo magazeti yakawa yanashabikia. Haya na sasa yupo matatani yatajidai kuwa yalimuonywa.
Huu ni ujinga Zamaradi mketema katika kipindi cha Take one, anaandaa kipindi mara anamuita Jackline Wolper sijui, anamuuliza maswali ya kinafiki nafiki tu ilimradi awakere maadui zake sasa sijui hapo ndo huyu mwendesha kipindi alikuwa anakuza vipaji ama vipi, alinikera na sikumuelewa. Juzi tena kama usingekuwa msiba wa Steven Kanumba kuna jingine lilikuwa linakuja kushika katika Media, yaani Wema huyu dada wala simsifii kuwa eti ana tabia nzuri ama la…binafsi huwa hanifurahishi lakini kwa juzi hiyo huyo mtangazaji aliniacha hoi na katiuka kero kubwa…..ni katika kipindi cha EATV Friday night live, Wema kaja kwa ajili ya kutangaza filamu yake mpya lakini yule presenter akaanza kumuuliza juu ya uhusiano wake na Diamond, jamaa alinikera na nilimwona mshamba kabisa.
Sasa shida yake sijui alitaka Wema amtukane Diamond ama, sasa akishamtukana halafu Diamond akasirike amtafute mtaani ampige aue we presenter ndo kazi yako itakuwa imetimia au???? Uliboa ile mbaya..
Magazeti haya ya Shigongo haya…yakakazana kuandika ooh!! Dude kazaa na Uwoya. Hivi Dude na Ndikumanaq wakitoana roho kwa ujinga mnaotuandikia, sasa mwatufurahisha nini kwa mambo hayo ya chumbani?? Sikatai kuandika udaku lakini mnaandika umbea nyie. Mnawafanya wasanii wetu wawe juu ya maisha yao ya kawaida. Na nyie wasanii wengine ni washamba tu tena sana nasema, utakubalije kijinga jinga tu kuwa unaandiukiwa mambo yako ya ndani magazetini. Tujifunze ulaya, ambapo huwezi kumkuta Jigga=Jay Z ama Beyonce kaandikwa kijinga jinga. Sheria za uandishi haziruhusu mambo hayo ya kuandika idadi ya shanga kiunoni mwa Jokate ama chupi ya Uwoya. Hayo mnaandikiwa mnacheka.
Na wewe Wema nasikia kuwa huwa unazitafuta skendo maksudi, hala hala nakwambia ngoja uendelee na huo ushamba na ujinga halafu itakuja skendo kubwa ambayo haujaitafuta na hautaisahau kamwe, si unajidai kuona sifa unavyoandikwa andikwa. Haya magazeti haya sio kabisa yanakusifu leo kesho yanaponda.
Hawa Clouds media hawa tena yaani huwa siwaelewi kabisa wakati mwingine. Yaani wapo wanaume lakini wakati mwingine naamini wameambukizana tabia na wote kuwa wambea na wanafiki. Wanakuza mabifu hovyo hovyo halafu baadaye magazeti yanawasaidia. Mfano bifu la ROMA na huyu IZO business, kijingajinga eti kweli wapo katika ugomvi, hivi wakichomana visu ndo mwanze kuweka vipindi vya kuwakumbuka ama.
Bila media hizi hakika Lulu hadi leo angekuwa na staha asingekuwa kama alivyo. Media zimemponza Lulu halafu sasa zimemsaliti!!!! Kwa hiyo tusikae kupiga kelele Lulu Lulu, tupigie kelele na hivi vyanzo.
Mnaanzisha mashindano ya imba, vaa na cheza kama Rihanna halafu wakishavaa mnawapiga mapicha hayo mnaweka kwenye front pages za magazeti yenu. Huo ni ujinga!!!!!!
Nimeandika haya nikiwa nimekereka kabisa hasa hasa na gazeti la Sani ambalo ni kama limetoa toleo maalum kumuhusu marehemu, ukilisoma utadhani wa maana kumbe mapimbi tu…….wanaunda mabifu huku kuyazika hawajui BINAFSI NAUNGANA NAWE KAKA,KAMA UDAKU TUNAANDIKA SANA LAKINI HUU UMEPITILIZA!!!!

BALLOTELI APATA AJALI
Mshambuliaji wa Manchester City Mario Balotelli amepata ajali ya gari
jana alhamisi mchana,lakini taarifa zilizothibitishwa na klabu yake
zimesema kuwa Balotelli alinusurika na wala hakupata majeraha yoyote
Mshambuliaji huyo alikuwa akiendesha gari yake aina ya Bentley
alipogongana na gari nyingine kwenye mtaa mmoja uitwao Medlock jijini
Manchester.Klabu yake imesema kuwa Balotelli hakuwa mwenye makosa lakini polisi wa Greater Masnchester wanafanya uchunguzi kujua chanzo cha ajali.Polisi wamesema kwenye taarifa yao kuwa mtu mmoja kutoka katika gari zilizohusika na ajali amekimbizwa hospitali kwa tahadhali
TERRY APASUKA MBAVU
Chelsea imethibitisha kuwa nahodha wao John Terry amepata mipasuko
kwenye mbavu zake na watakuwa wakifuatilia hali yake kwa karibu kabla ya
mechi zinazofuata.
Terry alitoboa siri jana kuwa anapata shida
kupumuaa wakati anacheza,baada ya kuumia katika mechi ya kwanza na
Benfica wiki ilyopita ila alimudu kucheza dakika zote 90 jumamosi
iliyopita katika mechi ya ligi kuu dhidi ya Aston Villa.Lakini katika
mechi ya Uefa jumatano alidumu uwanjani kwa dakika 60 tu na baadae
alitolewa.
Asubuhi ya jana alhamisi vipimo vya scan vilionesha kuwa
Terry amepasuka mbavu mbili.Katika taarifa iliyotolewa kwenye mtandao wa
klabu wa www.chelseafc.com
Chelsea wamesema wamefanikiwa kulishughulikia tatizo na watamwangalia
mlinzi wao huyo wa kutegemewa kwa ukaribu zaidi kabla ya mechi
zinazofuata

PETROV AGUNDULIWA KUWA NA GONJWA
Nahodha wa Aston Villa, Stiliyan Petrov, amegunduliwa kuwa na ugonjwa hatari wa Leukemia.Balaa hilo limegunduliwa baada ya kufanyiwa vipimo alipomaliza kucheza mechi na Arsenal jumamosi ya wiki iliyopita, kwa kuwa alikuwa anajisikia homa.
Kwa mujibu wa Skysports News, klabu yake ndio iiyotoa taarifa hizi mbaya, na kwamba klabu yake ambayo leo jioni itacheza na Chelsea, imeahidi kuwa karibu nae zaidi, yeye pamoja na familia yake.
LEUKEMIA ni namna ya kansa ambayo inashambulia urojo wa ndani ya mifupa (bone marrow) na chembe chembe nyeupe za damu(white blood cells) Namtakia ugua pole Stiliyan Petrov
WACHEZAJI 20 WA CONGO WAZAMA NA KUFA MAJI
Wachezaji 20 wa timu moja ya Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Kongo iitwayo AC Virgin KA wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama kwenye mto Luapula nchini Zambia
Kwa mujibu wa kamishna msaidizi wa polisi wa wilaya ya Luapula, Aaron Mushanga,wachezaji hao na washabiki wao walikuwa wakirejea kutoka Zambia walikokuwa wakicheza mechi ya mpira wa miguu dhidi ya timu moja ya Zambia ambayo ilichezwa jumapili mwishoni mwa wiki iliyopita,ambapo boti zote tatu walizokuwa wakisafiria zilipinduka na kuzama katika mto maarufu mjini Luapula

"Boti zao zilipinduka katikakati ya mto na kuzama baada ya kupigwa na wimbi lililoanzishwa na boti nyingine iliyokuwa ikipita njia"Alisema Bw. Mushanga
"Boti zilizozama zilikuwa zimebeba jumla ya watu 100,lakini 80 kati yao waliweza kuokolewa na waokozi na 20 waliangamia"AliongezaIlipofika jumanne wakazi wa mji huo walikuwa wakihangaika kuziopoa boti hizo huku polisi wasimamia utambuzi wa maiti,Rais wa FIFA Sepp Blatter ametuma salam za rambirambi kwa Shirikisho la Soka la Kongo
"Kwa niaba ya FIFA na mimi binafsi, napenda kuwapa pole sana pole Shirikisho la Soka la Kongo" Blatter aliandika katika ujumbe ali mtumia Constant Omari Selemani,rais wa shirikisho la soka la Kongo FECOFA
RONALDO AFIKISHA MAGOLI 100 MAPEMA ZAIDI KULIKO MCHEZAJI YOYOTE KATIKA HISTORIA YA LA LIGA
Cristiano Ronaldo ndie mchezaji aliefikisha magoli 100 mapema zaidi katika historia ya La Liga.Alifikia rekodi hiyo jumamosi ya mwisho wa wiki iliyopita wakati Real Madrid walipoisambaratisha Real Sociedad kwa mabao 5-1.Imemchukua mechi 92 tu kufikia rekodi hiyo na kumpiku aliekuwa anashikilia rekodi hiyo Ferenc Puskas ambaye ilimchukua mechi 105 kufikia magoli 100
Kuna rekodi nyingine ambayo Ronaldo anakaribia kuivunja.Iwapo atakuja kuifunga bao Barcelona na Real Mallorca, atakuwa ni mchezaji wa kwanza kwenye La Liga kuipiga bao kila timu aliyocheza nayo kwenye msimu mmoja.Ronaldo hajafanikiwa kuifunga Barcelona wala Mallorca msimu huu

Hivi ndo tunataka soka letu likuwe kwa mwendo huu tutafika, kwa kitendo cha jana wachezaji wa YANGA kumpiga mwamuzi sio cha uzalendo kabisa, iliniuma sana sio siri!! Je wewe binafsi unasemaje? Comment!!!
MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU KWA ANDRE VILLAS-BOAS DARAJANI
Andre Villas-Boas yupo katika mgumu kuliko wakati wowote katika maisha yake ya ukocha @Chelsea.
Siku kadhaa baada ya mafaza wa Chelsea kumchallenge katika kikao cha timu hiyo,
AVB tena alilazimika kukanusha taarifa mpya kwamba Didier Drogba aliwaweka kikao kifupi wachezaji wenzake wakati wa mapumziko wa mechi ya raundi 5 ya FA Cup dhidi ya Birmingham.
Mreno huyo alipinga taarifa zilizotoka kuhusu kikao cha Drogba na wenzie huku akiweka na kukiri kwamba Fernando ‘Flop’ Torres aliangalia kipindi cha pili katika chumba cha kubadilishia nguo baada ya kutolewa wakati wa mapumziko na nafasi yake kuchukuliwa na Drogba.
Akizungumzia sub ya Torres AVB alisema: “Nina uhakika Torres hakupenda kutolewa muda ule lakini yalikuwa ni maamuzi kwa faida ya timu.”
Chelsea wanasafiri kwennda Napoli wiki hii kwa ajili ya mechi ya kwanza ya mtoano wa Champions league, huku taarifa zikisema atatimuliwa ikiwa Chelsea watshindwa kuingia robo fainali.
Pia AVB sasa ameshaanza kukosa support ya mashabiki wa Chelsea baada ya wapenzi wa timu hiyo sasa kuanza kuimba jina la Jose Mourinho katika mechi za Chelsea huku wakiizomea timu yao muda wote.
![]() |
Drogba Akiendesha kikao na wachezaji wenzie wakati wa mapumziko. |
MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU EMIRATES: ARSENAL WAPIGWA 2-0 NA SUNDERLAND WATOLEWA FA CUP.
![]() |
Kieran Richadson akipongezwa na wenzie. |
Mambo yameendelea kuwa magumu kwa Arsenal baada ya leo pia kutolewa katika michuano ya kombe la FA na Sunderland baada ya kufungwa 2-0 na watoto wa Martin O’neal.
Magoli ya Sunderland yalifungwa kwa na mchezaji wa zamani wa Manchester United Kieran Richdson katika dakika ya 48 kabla ya Alex Oxlade Chamberlain akijifunga na kufunga idadi yam abo ya mchezo huo wa raundi ya tano ya FA.
Wiki hii imeendela kuwa mbaya kwa Arsenal ambao walifungwa kwa goli 4-0 na AC Milan katika mechi ya kwanza ya Champions league.
TORRES ACHEZA MECHI YA 20 - AKIWA DIMBANI KWA DAKIKA 1298 BILA GOLI HUKU CHELSEA WATOKA SARE NA BIRMINGHAM CITY.
Fernando Torres sasa amecheza mechi ya 20 bila kufunga bao kwa timu yake ya Chelsea. Torres ambaye alitolewa half time na nafasi yake kuchukuliwa na Drogba – sasa ameanza kujihakikishia nafasi yake katika listi ya wachezaji ambao Chelsea walitumia pesa nyingi kuwanunua lakini wakashindwa kuperform vizuri.
Torres sasa anaongezeka katika listi inayowajumuisha wachezaji wengine walionunuliwa na Chelsea kwa bei mbaya lakini wakashindwa kufanya vizuri kama vile Andrain Mutu, Mateja Kezman, Andry Shevchenko na hataChris Sutton kama worst signings of Chelsea ever.
Kwa hisani ya:http://www.shaffihdauda.com/
Stars v Congo: KOCHA wa Congo atua Dar, Timu kuingia Jumanne
Kwa mujibu wa taarifa iliyosambazwa na Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, Boniface Wambura, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Congo DR, Claude Le Roy, amewasili jana Jijini Dar es Salaam akitokea Paris, Ufaransa na Msafara kamili wa Watu 24 wakiwemo Wachezaji 19 wa Timu ya Congo DR utaingia Nchini hapo Jumanne Februari 21 kwa ajili ya Mechi yao ya Kimataifa ya Kirafiki dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam hapo Alhamisi Februari 23.
Claude Le Roy, Raia wa Ufaransa, aliteuliwa kuwa Kocha wa Congo Septemba Mwaka jana na huko nyuma aliwahi pia kuwa Kocha wa Senegal, Ghana na Cameroun.
Taarifa hiyo ya TFF pia ilisema Makocha Jan Poulsen wa Taifa Stars na Claude Le Roy watakuwa na Mkutano na Wanahabari hapo Februari 22 utakaofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya TFF.
http://www.sokainbongo.com/dimbani-afrika/2470-stars-v-congo-kocha-wa-congo-atua-dar-timu-kuingia-jumanne
http://www.sokainbongo.com/dimbani-afrika/2470-stars-v-congo-kocha-wa-congo-atua-dar-timu-kuingia-jumanne
Mechi hii na Congo DR ni ya majaribio na matayarisho kwa Taifa Stars ambao wanakabiliwa na mechi ya kuwania kutinga Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2013, zitakazochezwa huko Afrika Kusini Mwaka 2013 dhidi ya Msumbiji itakayochezwa Februari 29 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kurudiana huko Maputo hapo tarehe 17 Juni 2012.
WAGHANA HAWANA SHUKRANI...
Akiongea na mtandao wa footy-ghana.com,Badu amesema kashtushwa sana na taarifa za kustaafu kwa Gyan na pia amesikitishwa na kitendo cha washabiki wa Ghana kuimiminia matusi makali familia ya Gyan tangu baada ya tukio la kukosa penati kwenye michuano ya kombe la mataifa ya afrika
"matusi yamezidi,waghana hawatambui mchango wa Gyan katika timu ya taifa,yeye ndie mfungaji anaeongoza katika timu yetu,hivyo hii ni habari mbaya kwa Ghana.Familia yake haikustaili matusi yote hayo"
"matusi yamezidi,waghana hawatambui mchango wa Gyan katika timu ya taifa,yeye ndie mfungaji anaeongoza katika timu yetu,hivyo hii ni habari mbaya kwa Ghana.Familia yake haikustaili matusi yote hayo"
Asamoah Gyan astaafu Ghana!
Straika wa Ghana Asamoah Gyan inasemekana ameamua kupumzika kuichezea Ghana baada ya kutuma barua kwa Chama cha Soka Ghana, GFA, akielezea uamuzi wake huo.
Gyan, Miaka 26, ambae ameichezea Ghana mara 59, ameleza kuwa uamuzi wake huo unatokana na kukashifiwa vibaya mara baada ya Ghana kubwagwa nje toka kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2012, hivi majuzi walipofungwa bao 1-0 na Zambia.
Mchezaji huyo amekuwa akisakamwa mno Nchini kwao kwa kuwaletea maudhi makubwa kwa kukosa penati kwenye mechi ya AFCON 2012 dhidi ya Zambia na pia kwenye Robo Fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay huko Afrika Kusini Mwaka 2010.
Barua hiyo ya Gyan imeeleza kuwa uamuzi wake hakuuchukua kwa mzaha na anasikia fahari kubwa kuichezea Ghana tangu akiwa na Miaka 17 Mwaka 2003.
Akimalizia barua yake, Gyan, ambae sasa anacheza kwa mkopo huko UAE na Klabu ya Al Ain toka Sunderland, amesema ataijulisha GFA akiamua kurudi tena kuichezea Ghana.
Gyan ameifungia Ghana bao 28 katika Mechi 59 alizoichezea.
ZLATAN IBRAHIMOVIC: VAN PERSIE ONDOKA ARSENAL
Robin Van Persie ameambiwa na Zlatan Ibrahimovic aondoke Arsenal kama anataka kushinda vikombe.
Nahodha wa gunners alishindwa kuisadia timu yake juzi Jumatano wakatika Gunners walipopewa kipigo cha 4-0 na AC Milan na kuweka matumaini finyu ya kuendelea na hatua ya mbele katika champions league.
Akiongea na The Sun Zlatan alisema: “Inapofikia kipindi hujashinda kombe lolote kwa miaka mingi watu wanaelewa unapoondoka kama Cesc Fabregas. Soka ni kila kitu kuhusu kushinda. Kama usiposhinda inabidi uondoke. Simjui kiundani Robinlakini nakumbuka jinsi alivyokuwa na kipaji kikubwa tangu akiwa Uholanzi – na sasa amekamilika.
“Sijui nini anafikiria kuhusu hatma yake kisoka lakini ningekuwa mimi ningejua cha kufanya tayari. Nimeshahama sana katika maisha yangu ya soka – nachukulia suala kama changamoto ya kufanya vizuri kwangu. Na nimeshashinda makombe 8 katika miak 8 na klabu tofauti katika nchi mbalimbali.
“Lakini kama utakaa sehemu moja katika maisha yako yote ni rahisi kucheza soka, unajihisi kama upo nyumbani na katika zone ambayo unakuwa comfortable kucheza soka., lakini ikiwa unahama katika sehemu tofauti inakuwa ni tofauti ni kama mtihani. Ikiwa utafanikiwa hapo ndipo unapokuwa bingwa wa kweli na hapo ndipo utakapopata heshima.”
SIMBA NAO WATOKA SARE NA KIYOVU KIGALI RWANDA
Wawakilishi wa Tanzania Bara katika kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) Simba SC imetoa sare ya goli 1-1 na Kiyovu ya Rwanda mchezo uliochezwa nchini Rwanda.
Simba walikuwa wa mwanzo kupata goli kupitia kwa kiungo Mwinyi Kazimoto katika dakika ya 42 ya mchezo, na kupelekea Simba kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa goli hilo moja.
Wakati mashabiki wa Kiyovu wakiwa wameshakubali matokeo ya kufungwa goli moja bila, na kuanza kutokomea uwanja katika dakika ya 90 walisazisha goli hilo na kupelekea mchezo kumalizika kwa sare ya 1-1.
Simba na Kiyovu watarejeana tena baada ya wiki mbili katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na matokeo hayo ya leo yanawapa hauweni Simba katika mchezo wa marudiano kwani watahitaji sare ya bila kufungana.
YANGA YATOKA SARE NA ZAMALEK TAIFA - AMRI ZAKI AINYIMA USHINDI
Klabu ya Dar Young African leo imeshindwa kuifunga Zamalek ya Misri kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa wa Afrika baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja.
Katika mchezo huo ambao Yanga waliutawala kwa kiasi kikubwa huku Zamalek wakicheza kwa kijihami na kufanya mashambulizi ya kushtukiza, wanajangwani itabidi wajilaumu wenyewe baada ya kupoteza nafasi nyingi za magoli ya wazi.
Yanga ndio walikuwa wa kwanza kuzitingisha nyavu za Zamalek kwa goli lilofungwa na Hamis Kiiza katika kipindi cha kwanza kabla ya mshambuliaji wa zamani wa Wigan Athletic Amri Zaki aliyeingia akitokea benchi kuisawazishia Zamalek. wa marudiano dhidi ya Waarabu hao utakaopigwa wiki 2 zijazo katika venue ambayo bado haijawekwa wazi.
Kwa matokeo hayo ni dhahiri Yanga wamejiweka katika wakati mgumu atika mchezo

Nini hasa tatizo kubwa kwa TIGER HOOD kuporomoka kwa kiwango chake cha GOLF?
Nini hasa tatizo kubwa kwa TIGER HOOD kuporomoka kwa kiwango chake cha GOLF?
JE NI baada ya kuachana na wife wake kwa SKENDO za mapenzi au kachoka kabisa?Nani mwenye kufahamu hili jambo wadau.
Nini hasa tatizo kubwa kwa TIGER HOOD kuporomoka kwa kiwango chake cha GOLF?
JE NI baada ya kuachana na wife wake kwa SKENDO za mapenzi au kachoka kabisa?Nani mwenye kufahamu hili jambo wadau.
Iddy Harnaa Mkwama :Skendo zimemshusha sana
Faraji Makay :gemu inakupanda na kushuka...vile m2 awezi kuwa juu muda wote...!!!- Gulam Mhedu :Umaarufu mzigo wa miba, halafu kuwa number moja kwa muda inawezekana ila kukaa hapo milele haiwezekani!
Rajabu Abeid: Kila jambo lina msimu.
Linus Anthony: Me nadhan ni kuchoka coz ata masupa* wa soka wanaishaga mdogo mdogo
- Mkusa Mancho: Mbele siku zote wadhamini ndo kla kitu achana na mshahara unaopata so wanaamini kuwa maarufu ni mfano ktk jamii ukifanya ktu ambacho kitaharibu heshima yako kma alivyofanya Tiger Woods wadhamini wanavunja mikataba yao unaporomoka kiuchumi matumizi yako yanashuka na mbele kuna haki nyingi zinawabeba wanawake so asilimia kubwa ya utajiri wako unakwenda kwa mkeo unachanganyikiwa kiwango kinashuka vilevile kwa mawazo. So unatakiwa uwe mwangarifu unapokuwa superstar especially ukiwa umeoa kuna haki nyingi za wanawake mbele usipoangalia dunia utaiona chungu@Ingram
CAF AFRIKA: Yanga v Zamalek; Kiyovu v Simba

Mbali ya wakongwe hawa, Timu za
Zanzibar, Mafunzo na Jamhuri, nazo zitaingia uwanjani kwa Mafunzo
kucheza na Liga Muculmana de Maputo ya Msumbiji katika CAF CHAMPIONZ LGI
na Jamhuri kuivaa Hangwe ya Zimbabwe kwenye Kombe la Shirikisho.
Tayari Zamalek, ambao wamewahi kuwa
Mabingwa wa Afrika mara 5, wameshatua Dar es Salaam bila ya Wachezi wao
Ahmed Hassan, Muhammad Ibrahim na Salah Suleiman.
Majuzi Zamalek walicheza mechi yao ya
mwisho ya majaribio na kuifunga Telecom Egypt bao 4-1 kwa bao za Amr
Zaki, Ibrahim Hassan na Ahmad Jaffar.
Simba yaenda Rwanda bila Wachezaji kadhaa
Simba iliondoka Alhamisi jioni kwenda Kigali, Rwanda kupambana na Kiyovu huku Wachezaji kadhaa wakiachwa.
Wachezaji ambao hawakusafiri ni Gervais
Kargo, Derrick Walulya, Haruna Moshi 'Boban', Ulimboka Mwakingwe, Amir
Maftah na Hassan Khatib na imesemwa baadhi yao ni majeruhi.
Pamoja na Kocha Cirkovic Milovan na
Wasaidizi wake Amatre, Daktari Cosmas Kapinga na James Kisaka, Kocha wa
Makipa, Viongozi wengine ambao wamo kwenye msafara huo ni Makamu
Mwenyekiti Geofrey Nyange 'Kaburu', Katibu mkuu Evodius Mtawala, Fransis
Silaya (Mjumbe wa Kamati ya Utendaji).
Wachezaji waliosafiri ni:
Makipa: Juma Kaseja na Ali Mustapha 'Barthez'
Mabeki: Nassor Said 'Cholo', Juma Jabu, Juma Nyoso, Kelvin Yondan, Victor Costa na Obadia Mungusa.
Viungo: Shomari
Kapombe, Mwinyi Kazimoto, Jonas Mkude na Patric Mafisango Washambuliaji:
Ramadhani Singano 'Messi', Edward Christopher, Salum Machaku, Uhuru
Selemani, Felix Sunzu na Emmanuel Okwi.
MISIMAMO & RATIBA LIGI ZA ULAYA:
LA LIGA
MSIMAMO=Timu za juu tu:
[Kila Timu imecheza Mechi 22]
1 Real Madrid Pointi 58
2 Barcelona 48
3 Valencia 40
4 Levante 32
5 RCD Espanyol 32
6 Atletico de Madrid 31
7 Malaga 31
8 Osasuna 31
9 Athletic de Bilbao 30
10 Rayo Vallecano 28
SERIE A
MSIMAMO=Timu za juu tu:
[Kila Timu imecheza Mechi 23 isipokuwa inapotajwa]
1 AC Milan Pointi 47
2 Juventus Mechi 22 Pointi 46
3 Lazio 42
4 Udinese 41
5 Napoli Mechi 24 Pointi 37
6 Inter Milan Mech 24 Pointi 35
7 AS Roma 35
8 Palermo 31
9 Cagliari 30
10 Genoa 30
BUNDESLIGA
MSIMAMO=Timu za juu tu:
[Kila Timu imecheza Mechi 21 isipokuwa inapotajwa]
1 Borussia Dortmund Pointi 46
2 Bayern Munich 44
3 Borussia Monchengladbach 43
4 Schalke 41
5 Werder Bremen 33
6 Bayer Leverkusen 31
7 Hannover 31
8 Wolfsburg 27
9 Stuttgart 26
10 Hoffenheim Mechi 22 Pointi 26
RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Februari 17
SERIE A
Forentina 0 Napoli 3
Inter Milan 0 Bologna 3
BUNDESLIGA
Hoffenheim 1 Mainz 1
Jumamosi Februari 18
LA LIGA
Getafe v Espanyol
Real Madrid v Real Racing Santander
Sevilla v Osasuna
SERIE A
Juventus v Catania
BUNDESLIGA
Kaiserslautern v Borussia Monchengladbach
Nuremberg v Cologne
Bayer Leverkusen v Augsburg
Hamburger v Werder Bremen
Hertha Berlin v Borussia Dortmund
Freiburg v Bayern Munich
Jumapili Februari 19
LA LIGA
Granada v Real Sociedad
Athletic Bilbao v Malaga
Real Mallorca v Villareal
Sporting Gijon v Atletico Madrid
Levante v Rayo Vallecano
Barcelona v Valencia
SERIE A
Lecce v Sienna
AS Roma v Parma
Genoa v Chievo
Cesena v AC Milan
Novara v Atalanta
Udinese v Cagliari
Palermo v Lazio
BUNDESLIGA
Schalke v Wolfsburg
Hannover v Stuttgart
Facebook status: "Leo nakunywa mayai sauti iwe nyororo tayari kwa kuishangilia ZAMALEK...uzalendo my foot" says Soggy Dog
Leo nakunywa mayai sauti iwe nyororo tayari kwa kuishangilia ZAMALEK...uzalendo my foot
Subscribe to:
Posts (Atom)